Nenda kwenye New Order, chagua Category na Service unayotaka. Weka Link au Username, andika Quantity, kisha ubonyeze Place Order. Hakikisha una Balance ya kutosha kabla ya kuweka Order.
Nenda kwenye Add Funds, chagua njia ya malipo unayotaka, weka kiasi unachotaka kuongeza, kisha ukamilishe malipo. Balance itaongezwa moja kwa moja kwenye akaunti yako.
Services nyingi huanza ndani ya dakika chache hadi saa kadhaa. Muda wa kuanza hutegemea Service uliyochagua.
Huenda kuna msongamano wa Orders au matengenezo ya mfumo. Tafadhali subiri kwa muda. Tatizo likiendelea, wasiliana na Support.
Refill ni huduma ya kurejesha Followers, Likes au Views zilizopungua ndani ya kipindi cha Refill kilichoainishwa kwenye Service.
Hapana. Onelzak haitawahi kukuomba Password ya akaunti yako. Tunahitaji Link au Username pekee.
Hapana. Hakikisha umeweka Link au Username sahihi kabla ya kuweka Order.
Nenda kwenye Support Tickets ndani ya akaunti yako au wasiliana nasi kupitia WhatsApp au Instagram.
Hakikisha una Balance ya kutosha, umetumia Link au Username sahihi, na umeweka Quantity inayokubalika kwa Service hiyo.