Jinsi ya Kuweka Order Kwenye Onelzak

Jinsi ya Kuweka Order Kwenye Onelzak

Ikiwa ni mara yako ya kwanza kutumia Onelzak, kuweka Order ni rahisi. Mwongozo huu utakuelekeza hatua kwa hatua ili kuhakikisha Order yako inawekwa kwa usahihi.

Hatua ya 1: Ingia kwenye Akaunti Yako

Fungua Onelzak na uingie kwenye akaunti yako kwa kutumia taarifa ulizotumia wakati wa kujisajili.

Hatua ya 2: Fungua New Order

Baada ya kuingia, nenda kwenye sehemu ya New Order. Hapa ndipo utaweza kuchagua huduma unayotaka.

Hatua ya 3: Chagua Category

Chagua Category kulingana na platform unayotaka kutumia, kama Instagram, TikTok, YouTube au Facebook.

Hatua ya 4: Chagua Service

Chagua Service inayolingana na mahitaji yako. Soma maelezo ya Service ili kujua muda wa kuanza, Quantity inayoruhusiwa na masharti yake.

Hatua ya 5: Weka Link au Username

Weka Link au Username sahihi kulingana na maelekezo ya Service uliyochagua.

Kwa mfano:

Instagram Followers: Weka Username au Profile Link

Instagram Likes/Views: Weka Link ya Post

TikTok Views: Weka Link ya Video

YouTube Views: Weka Link ya Video

Hakikisha akaunti au post yako haijawekwa Private ikiwa Service inahitaji iwe Public.

Hatua ya 6: Weka Quantity

Andika Quantity unayotaka. Hakikisha Quantity hiyo ipo ndani ya kiwango cha chini na cha juu kinachoruhusiwa kwenye Service.

Hatua ya 7: Bonyeza Place Order

Kagua taarifa zako, kisha ubonyeze Place Order. Hakikisha una Balance ya kutosha kabla ya kuweka Order.

Baada ya kuweka Order, unaweza kufuatilia maendeleo yake kupitia sehemu ya Order Logs.

Mambo Muhimu ya Kuzingatia

Usiweke Link au Username isiyo sahihi. Pia, usiweke Order nyingine kwenye Link hiyo hiyo kabla ya Order ya kwanza kukamilika, kwa sababu inaweza kusababisha kuchelewa au matokeo kutohesabika vizuri.

Order ikichelewa zaidi ya muda wa kawaida, wasiliana na Support ukiwa na Order ID yako.